Sasa CEO kutembea na club ni kitu cha ajabu, issues kuongea vitu vya management mbele ya jadhara kama alichofanya tajiri wenu MO. Yale alitakiwa aongee mbele ya bodi ya Simba. Uweledi wao utoe wapi ,wewe kama mngekuwa na akili msingefanyiwa kile mlicho fanyiwa na mwenyekiti wenu kumleta Manzoki wakati wa usajili au may alikuwa wakala/msimamizi wa uchaguzi au ule kwako ulikuwa ni uweledi.
Timu yenye viogozi wenye uweledi kweli wanarusu wachezaji wao kupanda na vibiriti pamoja na mizigo ya kuni kufanya ujinga huu 👇👇 au na huu nao uweledi.
View attachment 2692263
Unaweza kunionyeshea picha wakimwaga hayo maji?Maana unajisifu kuongea kwa fact.Bora sie wenye mkopo kuliko nyie boss wenu kila siku anawajambisha anataka kujitoa.