GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.