Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

Logic ni nini hasa ? Utamlinganisha Nabi na huyo kocha wenu au mmevurugwa na matokeo ya Jana ? Mpaka sasa Nabi ana kombe 1 NBC Premier League na yupo mbioni kutetea taji,Nabi ana ngao ya jamii mara 2,Nabi ana Azam confederation cup 1 na Sasa anaiongoza Yanga kwenye michuano ya kimataifa sasa huyo kocha wenu kafanya nini zaidi mpaka upate ujasiri wa kumlinganisha na Nabi Hebu kuwa na adhabu kijana
 
Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.
Na Mgunda asibezwe jamani pia
 
Njoeni lile popoma limeanza mada zinazoendana na akili yake

Alex Ferguson alikua mda gani kuisuka Manchester united hadi falsafa yake kueleweka?

Pitso Mosimane alikaa na al ahly kwa muda gani mpaka wachezaji kumwelewa?
Damn Fool.
 
RAGE aliwaita mbumbumbu na hilo naendelea kuamini. Kwa akili ya kawaida tu ungeangalia kila kocha aliikuta timu ina hali gani. Nabi kaingia Yanga timu ndiyo kwanza ilikuwa inaanza kujitafuta na wachezaji wanaingia na kutoka, wakati huyu mwingine kakuta timu iko robo fainali. Nadhani tuombe Mungu uzima mwaka kesho Hawa makocha wote kwenye ligi wawepo ili tuheshimiane.
Kati ya Sisi wana Simba SC tulioitwa Mbumbumbu na huyo Rage na nyie Yanga SC ( wana Yanga SC wote ) mlioitwa Mbwa, Nyani na Sokwe ( ipo YouTube ) na aliyekuwa Kocha Mkuu wenu anayewadai Fedha zake na ameshawashtaki hadi FIFA aitwae Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) nani ndiyo Katukanwa na Kadhalilishwa vibaya na pakubwa?

Na pia unasemaje kuhusu Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wenu ( sasa yuko Kifungoni ) Haji Manara aliposema kuwa Yanga SC wote ukimtoa Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete hamna Akili yaani ni Wapumbavu?

Nasubiri majibu yangu ya yote haya.

Cc: Interlacustrine R
 
Tukiweka unazi mbali,robertinho na nabi wamekutana mara tatu ila mara zote nabi hajawahi kumfunga mbrazil....so nani mkali zaidi...jibu liko wazi
Wenye Akili watasema / tutasema Bora ni Robertino ila kwa Wapumbavu watalazimisha awe ni Nabi.

Imeisha hiyo.
 
Aden Rage atakumbukwa sana kwa uasisi wake wa "Mbumbumbu"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kati ya Sisi wana Simba SC tulioitwa Mbumbumbu na huyo Rage na nyie Yanga SC ( wana Yanga SC wote ) mlioitwa Mbwa, Nyani na Sokwe ( ipo YouTube ) na aliyekuwa Kocha Mkuu wenu anayewadai Fedha zake na ameshawashtaki hadi FIFA aitwae Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) nani ndiyo Katukanwa na Kadhalilishwa vibaya na pakubwa?

Na pia unasemaje kuhusu Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wenu ( sasa yuko Kifungoni ) Haji Manara aliposema kuwa Yanga SC wote ukimtoa Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete hamna Akili yaani ni Wapumbavu?

Nasubiri majibu yangu ya yote haya.

Cc: Mr Devil
 
Naangalia mpira wa Raja nawaona wanatafuta goli kwa tochi!

Walipewa panalti wamekosa.
 
Acha kiwewe cha kuishia robo fainali. Mtoa uzi pole
 
Back
Top Bottom