Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.

Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.

A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.

Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
 
Nabi sio Pep Guardiola au Klopp.
Guardiola na Klopp ndo makocha pekee ambao wanaweza fanya kazi bila kutegemea benchi lilelile la ufundi, mwaka 2018 alipoondoka kocha msaidizi wa Klopp anaitwa " The Brain" wakajua Klopp tayari ila mnajua nini kilitokea hapo .
Guardiola yeye huwa anawaacha tu waende wanapotaka, wakina Arteta na bado kabeba UEFA.

NABI BADO SANA ILA MDOGOMDOGO ATAFIKA.
 
Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.

Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.

A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.

Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
Nabi ni kocha wa kawaida sana pale Simba na Yanga mpira unachezwa na watu wengi, wazee, viongozi nk
 
Fara Rabat wameonyesha interest naye....... nadhani alifanya maamuzi Kwa haraka na udalali mwingi wa maagent......sasa anaweza kupata timu ila akapoteza hadhi aliyoitengeneza Yanga
Hawezi kosa timu ila ile historia na heshima aliyoipata utopoloni hawezi kuipata tena kirahisi kwingineko
 
Hongera viongozi wa Yanga kwa usajili Bora,Nabi ni overrated inamaanisha hata kocha mpya atafanya makubwa zaidi.ni Kikosi Bora kocha yoyote hata Minziro anafika fainali ya CAFCcl.yanga hakuna ubabaishaji katika usajili 95% unafikia malengo.hakuna fedha kuwapa wachambuzi kuwapamba akina Sawadogo
 
Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.

Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.

A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.

Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Nabi ni kocha bora kabisa basi tu roho mbaya zinawasumbua. Ni kocha mwenye uelewa mzuri wa mbinu na mnyumbulifu, kuliko makocha wengi niliowana Tanzania hivi karibuni. Uwezo mkubwa wa kuendeleza wachezaji na kuwafanya wajiamini sio Mambo ya kubaguana. Ahsante.
 
Bila mayele nabi angefukuzwa kitambo
 
Hongera viongozi wa Yanga kwa usajili Bora,Nabi ni overrated inamaanisha hata kocha mpya atafanya makubwa zaidi.ni Kikosi Bora kocha yoyote hata Minziro anafika fainali ya CAFCcl.yanga hakuna ubabaishaji katika usajili 95% unafikia malengo.hakuna fedha kuwapa wachambuzi kuwapamba akina Sawadogo
Uto hongereni kwa usajili wa bigirimana from new castle
 
Nabi ni kocha wa kikuu ila aliemuingiza mabi mjini akatae kuongeza mkataba utopolo ni mtoto wa mjini kweli
 
Bila mayele nabi angefukuzwa kitambo
Katika historia ya mpira wa miguu haijawahi tokea mchezaji anaweza kucheza uwanjani nafasi zote 11 isipokuwa ni Mayele pekee. Mayele ni mchezaji aliyemudu kucheza mwenyewe uwanjani pasipo msaada wa wachezaji wengine. Mayele anadaka mipira, anakaba, anatoka na mpira tokea golini kwake mpaka kufunga goli.

Halafu eti mleta mada Mayele ni mchezaji wa timu gani? Kaletwa kwaajili ya majukumu gani? Kwanini mchezaji anapofanya majukumu yake ushushe sifa ya kocha kana kwamba Mayele anafanya hisani kwenye timu vile?
 
Katika historia ya mpira wa miguu haijawahi tokea mchezaji anaweza kucheza uwanjani nafasi zote 11 isipokuwa ni Mayele pekee. Mayele ni mchezaji aliyemudu kucheza mwenyewe uwanjani pasipo msaada wa wachezaji wengine. Mayele anadaka mipira, anakaba, anatoka na mpira tokea golini kwake mpaka kufunga goli.

Halafu eti mleta mada Mayele ni mchezaji wa timu gani? Kaletwa kwaajili ya majukumu gani? Kwanini mchezaji anapofanya majukumu yake ushushe sifa ya kocha kana kwamba Mayele anafanya hisani kwenye timu?
Mbona Sarpong alishindwa,Bigirimana alikuwa Kitayose?kubali uwezo wa kucapture na kipaji vinatofautiana kati ya mchezaji na mchezaji
 
Mayele kabla ya kucheza ligi ya Tanzania hakuwahi kucheza mpira kwengine? Je ni nani aliyemuimba hapo kabla? Usiwe kama mtu uliyeujua mpira ukubwani. Mayele ni mchezaji mzuri ila kusema kocha kabebwa na mchezaji mmoja ni kutokuujua mpira. Mechi ya fainali ya kombe la Azam federation cup je Mayele alikuwepo?
 
Unaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi
 
Back
Top Bottom