bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
nusu fainali ya Azam na Simba pia biashara ilifanyikaUnaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nusu fainali ya Azam na Simba pia biashara ilifanyikaUnaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi
Atafukuzwa ASUBUHI tu..timu za DUNIA ya kwanza au ya pili..zinataka Big results now kwa sababu wana mkurugenzi wa michezo, scouts na benchi la ufundi linalosimamia mikakati na falsafa za CLUB..kocha ukija unaweka ufundi wako tu..sasa yeye anataka mpk WACHEZAJI [emoji23][emoji23]Fara Rabat wameonyesha interest naye....... nadhani alifanya maamuzi Kwa haraka na udalali mwingi wa maagent......sasa anaweza kupata timu ila akapoteza hadhi aliyoitengeneza Yanga
Kumbe huna akiliUnaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi
Umesema kweli kabisa. Nabi hamna kitu bila hao uliowataja.Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.
Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.
A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.
Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
Huko Ngada FC sio wamefeli usajili mpaka makocha ndani ya miaka 2.5 aliyokaa Nabi,huko makocha wamefeli mpaka wamesajili kocha muuza heroin.90%wa usajili wa Dunduka fc msimu uliopita umefeli.hesabu mnayo.hata wakikopeshwa wanakaa benchi Kama Okwa.Uto hongereni kwa usajili wa bigirimana from new castle
Duuuh watanzania [emoji2][emoji2][emoji2] DAAHNabi ni kocha wa kawaida sana pale Simba na Yanga mpira unachezwa na watu wengi, wazee, viongozi nk
Maneno ya kwenye kanga,Kwa wanaume hayafaiUnaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi
Ila zilikuwepo hela za kumpamba Epl boy, Gael Bigirimana na ndugu yake flop Lazarous Kambole??Hongera viongozi wa Yanga kwa usajili Bora,Nabi ni overrated inamaanisha hata kocha mpya atafanya makubwa zaidi.ni Kikosi Bora kocha yoyote hata Minziro anafika fainali ya CAFCcl.yanga hakuna ubabaishaji katika usajili 95% unafikia malengo.hakuna fedha kuwapa wachambuzi kuwapamba akina Sawadogo
Kaizer wamemuacha kwa vile walishindwa kufikia masharti yake ya kufukuza benchi lote la ufundi aje na la kwake. Kuna watu wa benchi la ufundi pale ni kwao, kwa hiyo yeye kuja na benchi zima la ufundi ndilo lilikuwa kikwazo. Hata hivyo mashabiki wa Kaizer Chiefs wamachukia sana kutokana na kitendo cha viongozi wao kumuacha Nabi.Kaizer Chief wanajua sana.