Nabi sio Pep Guardiola au Klopp.Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.
Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.
A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.
Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
Nabi ni kocha wa kawaida sana pale Simba na Yanga mpira unachezwa na watu wengi, wazee, viongozi nkKaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.
Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.
A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.
Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
Hawezi kosa timu ila ile historia na heshima aliyoipata utopoloni hawezi kuipata tena kirahisi kwinginekoFara Rabat wameonyesha interest naye....... nadhani alifanya maamuzi Kwa haraka na udalali mwingi wa maagent......sasa anaweza kupata timu ila akapoteza hadhi aliyoitengeneza Yanga
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Nabi ni kocha bora kabisa basi tu roho mbaya zinawasumbua. Ni kocha mwenye uelewa mzuri wa mbinu na mnyumbulifu, kuliko makocha wengi niliowana Tanzania hivi karibuni. Uwezo mkubwa wa kuendeleza wachezaji na kuwafanya wajiamini sio Mambo ya kubaguana. Ahsante.Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa.
Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi angeshatimuliwa siku nyingi.
A stronhest man is a one who walks alone, anaogopa nini kuanza kazi na watu wapya.
Makolo waliwahi kumfunga sana huyu kabla hajatua utopoloni,
Bila mayele nabi angefukuzwa kitamboMti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Nabi ni kocha bora kabisa basi tu roho mbaya zinawasumbua. Ni kocha mwenye uelewa mzuri wa mbinu na mnyumbulifu, kuliko makocha wengi niliowana Tanzania hivi karibuni. Uwezo mkubwa wa kuendeleza wachezaji na kuwafanya wajiamini sio Mambo ya kubaguana. Ahsante.
Uto hongereni kwa usajili wa bigirimana from new castleHongera viongozi wa Yanga kwa usajili Bora,Nabi ni overrated inamaanisha hata kocha mpya atafanya makubwa zaidi.ni Kikosi Bora kocha yoyote hata Minziro anafika fainali ya CAFCcl.yanga hakuna ubabaishaji katika usajili 95% unafikia malengo.hakuna fedha kuwapa wachambuzi kuwapamba akina Sawadogo
Katika historia ya mpira wa miguu haijawahi tokea mchezaji anaweza kucheza uwanjani nafasi zote 11 isipokuwa ni Mayele pekee. Mayele ni mchezaji aliyemudu kucheza mwenyewe uwanjani pasipo msaada wa wachezaji wengine. Mayele anadaka mipira, anakaba, anatoka na mpira tokea golini kwake mpaka kufunga goli.Bila mayele nabi angefukuzwa kitambo
Mbona Sarpong alishindwa,Bigirimana alikuwa Kitayose?kubali uwezo wa kucapture na kipaji vinatofautiana kati ya mchezaji na mchezajiKatika historia ya mpira wa miguu haijawahi tokea mchezaji anaweza kucheza uwanjani nafasi zote 11 isipokuwa ni Mayele pekee. Mayele ni mchezaji aliyemudu kucheza mwenyewe uwanjani pasipo msaada wa wachezaji wengine. Mayele anadaka mipira, anakaba, anatoka na mpira tokea golini kwake mpaka kufunga goli.
Halafu eti mleta mada Mayele ni mchezaji wa timu gani? Kaletwa kwaajili ya majukumu gani? Kwanini mchezaji anapofanya majukumu yake ushushe sifa ya kocha kana kwamba Mayele anafanya hisani kwenye timu?
Mayele kabla ya kucheza ligi ya Tanzania hakuwahi kucheza mpira kwengine? Je ni nani aliyemuimba hapo kabla? Usiwe kama mtu uliyeujua mpira ukubwani. Mayele ni mchezaji mzuri ila kusema kocha kabebwa na mchezaji mmoja ni kutokuujua mpira. Mechi ya fainali ya kombe la Azam federation cup je Mayele alikuwepo?Mbona Sarpong alishindwa,Bigirimana alikuwa Kitayose?kubali uwezo wa kucapture na kipaji vinatofautiana kati ya mchezaji na mchezaji
Unaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kaziMayele kabla ya kucheza ligi ya Tanzania hakuwahi kucheza mpira kwengine? Je ni nani aliyemuimba hapo kabla? Usiwe kama mtu uliyeujua mpira ukubwani. Mayele ni mchezaji mzuri ila kusema kocha kabebwa na mchezaji mmoja ni kutokuujua mpira. Mechi ya fainali ya kombe la Azam federation cup je Mayele alikuwepo?
Lete ushahidi wa kuuza hiyo mechi.Unaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi