Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

Unaongelea mechi ambayi kally nangonga ramazani mtoro ongara aliuza kwa yanga kwa milioni tano mpaka akafukuzwa kazi
nusu fainali ya Azam na Simba pia biashara ilifanyika
 
Pitso, pep au mou kila wanapoenda wanaenda na watu wao kwenye BENCHI la ufundi tumeona hivyo kwa arteta au klopp pia...walimu wengi hupenda ongozana na watu wao kwa kua wanajuana.. kaizer chifu haikuwa sehemu SAHIHI kwa NABI..wale wana falsafa zao..!
 
Fara Rabat wameonyesha interest naye....... nadhani alifanya maamuzi Kwa haraka na udalali mwingi wa maagent......sasa anaweza kupata timu ila akapoteza hadhi aliyoitengeneza Yanga
Atafukuzwa ASUBUHI tu..timu za DUNIA ya kwanza au ya pili..zinataka Big results now kwa sababu wana mkurugenzi wa michezo, scouts na benchi la ufundi linalosimamia mikakati na falsafa za CLUB..kocha ukija unaweka ufundi wako tu..sasa yeye anataka mpk WACHEZAJI [emoji23][emoji23]
 
Ndo maana inaitwa Team na siyo one-man show lazima awe na backup ya wasaidizi wanaoongeza ubora wake kocha ili awe Bora anatakiwa apate wachezaji wanaofit kwenye mfumo wake.

Mi ni shabiki wa Simba ila Nabi ni kocha mzuri sana ndo maana offer mbali mbali zimemfata na akaamua kuondoka
 
Umesema kweli kabisa. Nabi hamna kitu bila hao uliowataja.
 
maoni ya waliocheza na kufundisha Mpira
 

Attachments

  • 2AD0E277-A7F1-448B-B157-2E15F4609C75.jpeg
    1.5 MB · Views: 2
Uto hongereni kwa usajili wa bigirimana from new castle
Huko Ngada FC sio wamefeli usajili mpaka makocha ndani ya miaka 2.5 aliyokaa Nabi,huko makocha wamefeli mpaka wamesajili kocha muuza heroin.90%wa usajili wa Dunduka fc msimu uliopita umefeli.hesabu mnayo.hata wakikopeshwa wanakaa benchi Kama Okwa.
 
Nabi ni kocha wa kawaida sana pale Simba na Yanga mpira unachezwa na watu wengi, wazee, viongozi nk
Duuuh watanzania [emoji2][emoji2][emoji2] DAAH
Sasa kama mpira unachezwa na watu wengi,hao akina wazee,viongoz nk...UNAONAJE TUWASHAURI HAO VIONGOZI WA YANGA NA SIMBA WASIAJIRI KOCHA?WAZEE WA YANGA NAWAJUA NITAONGEA NAO WACHUKUE TIMU,WEWE ONGEA NA WA SIMBA...
 
Ila zilikuwepo hela za kumpamba Epl boy, Gael Bigirimana na ndugu yake flop Lazarous Kambole??
 
Kaizer wamemuacha kwa vile walishindwa kufikia masharti yake ya kufukuza benchi lote la ufundi aje na la kwake. Kuna watu wa benchi la ufundi pale ni kwao, kwa hiyo yeye kuja na benchi zima la ufundi ndilo lilikuwa kikwazo. Hata hivyo mashabiki wa Kaizer Chiefs wamachukia sana kutokana na kitendo cha viongozi wao kumuacha Nabi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…