Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si katoka Real Madrid huyo au kilikuwa kibwagizo tu?Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.
Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.
Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.
Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.
Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?
noted uko sahihi!Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.
Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.
Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.
Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.
Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.
Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?
Abadilike huku ni Africa, vipi Club bingwa akifanyiwa hujuma za waarabu? Akili yake ibakie uwanjani, ajifunze kuwa mtulivu otherwise ataharibu timu mapema na ufundi wake hautamsaidia.Sijasema kocha hafai , nmesema anatakiwa arud darasan kujifunza nafasi ya kocha pale ambapo timu ina wakati mgum uwanjani.
Hakuna kocha asiye na mapungufu hivyo ni suala la Pablo kujirekebisha au kufundwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si tulikubaliana akizidiwa anampigia simu ZIDANE?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sure yeye muda wote hayupo mchezoni kuusoma.. anakuwa kwenye panic msaidizi wake Matola yeye ndio yupo busy kumtuliza mkuu wake..Mwalimu anapokua na panic muda mwingi jua huyo hamna kitu.
Majibu yamepatikan why hakai Sana na timu moja ?
Hata hapa Simba Hana muda mrefu Ni swala la muda tu.
Mwalimu anapaswa kutuliza wachezaji ,Sasa mwalimu akipanic wanafunzi wafanye nn?
Pumbavu kabisa ,hakuna kocha pale na ndie katulaza na viatu leo ,na washamjulia timu nyingi zinaenda kukamia Simba Hadi afukuzwe
Sio kama anapenda kupanik bali timu inaelemewa hata ungekua wewe..fikiria ule mkwaju ambao Aishi aliupangua ulikua unaingia moja kwa moja hapo kochaunatuliejeSure yeye muda wote hayupo mchezoni kuusoma.. anakuwa kwenye panic msaidizi wake Matola yeye ndio yupo busy kumtuliza mkuu wake..
Basi wachezaji humo ndani ni wanajimwayawaya huyu kakimbia huku huyu kaenda ili muradi
Janja Janja ya kuwapamba makocha bila kuwa na uwelediNaandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.