Kocha Pablo arudi darasani

Kocha Pablo arudi darasani

Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.

Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.

Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.

Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.

Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.

Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?
Si katoka Real Madrid huyo au kilikuwa kibwagizo tu?
 
noted uko sahihi!
kupanic hakufai kabisa!
 
Wajinga ndio waliwao hivi tutakuja kuelimika lini na hawa makocha wa michongo [emoji31][emoji31][emoji31]
 
Kocha ni bora sana ila hana focus uwanjani! He is still very young pamoja na ubora wake. Timu ina pressure na yeye anakosa maturity ili kutuliza timu icheze kama walivyopanga! Mechi ya jana ilikosa maturity benchi la ufundi na maturity ya wachezaji!

Goli moja la mapema tunapoteana kabisa tena timu kubwa kama Simba? Vipi tungepigwa goli tatu tungetulia ili tusawazishe?
 
Sijasema kocha hafai , nmesema anatakiwa arud darasan kujifunza nafasi ya kocha pale ambapo timu ina wakati mgum uwanjani.

Hakuna kocha asiye na mapungufu hivyo ni suala la Pablo kujirekebisha au kufundwa.
Abadilike huku ni Africa, vipi Club bingwa akifanyiwa hujuma za waarabu? Akili yake ibakie uwanjani, ajifunze kuwa mtulivu otherwise ataharibu timu mapema na ufundi wake hautamsaidia.
 
Vyura naona mnajibizana wenyewe kwa wenyewe... endeleeni kufurahishana !! Wenye timu yetu hatuna pressure tunajua kufungwa kwenye soka ni jambo la kawaida sana...
 
Si tulikubaliana akizidiwa anampigia simu ZIDANE?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani kocha wa Liverpool,As Roma au Atletico Madrid unawaonaje?
 
Sajili za Simba bei ghali ila mafanikio kiduchu... Bora Yanga wanao okoteza wakongo
 
Timu ikifungwa imekosa plan b?

Arudi darasani ajifunze namna ya kuzuia jazba?
 
Timu haina utulivu kabisa.inaoneka hadi viongozi nao hawana utulivu.maana viongozi wangekua wametulia lazima wangekua wameshaliona hilo tatizo nakulitafutia ufumbuzi maana halijaanza leo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
1)Penati mmepata mmekosa
2)Wenzenu wamecheza pungufu tokea first half.mmeshindwa kufunga.

Kwanini zigo mumuangushie Pablo?
 
Mwalimu anapokua na panic muda mwingi jua huyo hamna kitu.

Majibu yamepatikan why hakai Sana na timu moja ?
Hata hapa Simba Hana muda mrefu Ni swala la muda tu.
Mwalimu anapaswa kutuliza wachezaji ,Sasa mwalimu akipanic wanafunzi wafanye nn?
Pumbavu kabisa ,hakuna kocha pale na ndie katulaza na viatu leo ,na washamjulia timu nyingi zinaenda kukamia Simba Hadi afukuzwe
Sure yeye muda wote hayupo mchezoni kuusoma.. anakuwa kwenye panic msaidizi wake Matola yeye ndio yupo busy kumtuliza mkuu wake..

Basi wachezaji humo ndani ni wanajimwayawaya huyu kakimbia huku huyu kaenda ili muradi
 
Sio kama anapenda kupanik bali timu inaelemewa hata ungekua wewe..fikiria ule mkwaju ambao Aishi aliupangua ulikua unaingia moja kwa moja hapo kochaunatulieje
 
Cv kubwa ni pamoja na ukali wake, ukali wake uko ndani ya CV yake

Kama mwanafunzi azingatie masomo afanyaje? Huyu ni proffesional coach sio skalaga mchekelea maovu

Unaambiwa huko madrid hadi ronaldo alishawahi chezea vibao kadhaa kwa pablo baada ya kila anachofundishwa mchizi haelewi
 
Naandika maoni haya nikiwa nimeshuhudia mechi kadhaa za Simba chini ya Pablo Franco.

Naandika Kwa msisitizo kwamba kocha Pablo ana mengi ya kujifunza ili kuwa kocha Bora.

Nashangaa pamoja na "li CV" likubwa tuliloaminishwa kuwa Pablo analo lakini anashindwa kutambua kwamba pamoja na mbinu mbalimbali kocha anapaswa kuwa msaada katika kuituliza timu Mambo yanapokuwa magum uwanjani.

Kocha Pablo timu yake ikiwa katika wakati mgum , basi yeye badala ya kutulia kuusoma mchezo amekuwa wa Kwanza kupanik na kuwa na pressure isiyo na msingi.

Kwa mfano kipigo cha Leo kutoka Mbeya City limechangiwa na kocha Pablo kukosa msaada na plan B ,pia badala ya kuituliza timu ameipanikisha na kuipotezea umakini , huku akiiongezea presha.

Hivi ni kweli Simba walimuona Pablo akifundisha Real Madrid au walisimuliwa tu na wachambuzi wa mchongo?
Janja Janja ya kuwapamba makocha bila kuwa na uweledi
 
Back
Top Bottom