Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sisi falsafa yetu ya limited budget hatoiwezaArsenal tunahitaji mtu makini kama pep, akipewa misimu mi5 tu tayari tutakuwa na vikombe vyote muhimu.
Naungoja msimu ujao kwa hamu nimuone xabi alonso na levakusen yake 😂
Arteta tukiendelea kumpa muda anaweza kutupatia kikombe cha EPL in future 🤗