Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

Kwa ushindani anaozidi kuuonesha sina mashaka nae, kuweza kuturudisha UEFA CL ni wazi tuna usalama chini yake.

Huyu kipara wa man city ndio changamoto sana kwetu.

Ila wahispania wanajua sana kwenye ukocha.
Sure, kuchukua kombe mbele ya Pep inabid uwe na misuli kweli Kweli
 
Back
Top Bottom