Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

Arsenal tunahitaji mtu makini kama pep, akipewa misimu mi5 tu tayari tutakuwa na vikombe vyote muhimu.

Naungoja msimu ujao kwa hamu nimuone xabi alonso na levakusen yake πŸ˜‚
Sisi falsafa yetu ya limited budget hatoiweza

Arteta tukiendelea kumpa muda anaweza kutupatia kikombe cha EPL in future πŸ€—
 
Sisi falsafa yetu ya limited budget hatoiweza

Arteta tukiendelea kumpa muda anaweza kutupatia kikombe cha EPL in future πŸ€—
Kama tunaweza nunua mchezaji kwa €50+ sidhani kama tunashindwa kwenda na falsafa za Pep. Arsenal kwa sasa ubahili wameuweka kando
 
Hivi huyu Kocha tukisema aje Arsenal Kuna uwezekano mwakani tukabeba UEFA, ama yeye ni wa timu zenye kumwaga Mpunga mrefu kusajiri? πŸ™Œ

By the way, apewe Maua yake
Aje man u kuongeza nguvu Kwa ten hag.

Hakika next titawin champions league
 
Wewe ukipewa ufundishe real madrid watachukua Uefa?....
Au hata apewe mgunda au kocha wa timu ya kawaida tu ulayaataweza?....siyo kazi rahisi kukaa na kuwafundisha wachezaji wakubwa!...
 
Kama tunaweza nunua mchezaji kwa €50+ sidhani kama tunashindwa kwenda na falsafa za Pep. Arsenal kwa sasa ubahili wameuweka kando
Yeah ila ni kweli Mkuu

Siku hizi tumeanza kupunguza ubahili kidogo kidogo, maana kama tumeanza kusajiri mchezaji Kwa paundi 100m si mchezo πŸ’ͺπŸ™Œ
 
Everton tu ilimshinda akatimua mbio.
Kafuatilie rekodi zake pale Everton kama kuna kocha aliyefata baada yake amezifikia. Real Madrid waliomuomba arudi chamani, hizo habari za kukimbia hata mimi nazisikia sana huku Mburahati.
 
Kafuatilie rekodi zake pale Everton kama kuna kocha aliyefata baada yake amezifikia. Real Madrid waliomuomba arudi chamani, hizo habari za kukimbia hata mimi nazisikia sana huku Mburahati.
Nifatilie nini cha ziada wakati ni msimu juzi tu. Hajafanya cha maana chochote akiwa Everton hajafanya hata robo ya alichokifanya Emery Villa.

Alipopata ofa ya Madrid hakujiuliza mara 2 akatimua mbio.

Ancelloti kila sehemu aliyofundisha (timu kubwa) kweli kabebd makombe lakini mwisho wa siku alifukuzwa. Niambie Napoli alifanya nini cha maana.
 
Mzee ukianza kuleta habari za Aston Villa wakati umeongelea Everton huko ni kuweweseka. Kwahiyo Madrid wanachukuaga kocha mwenye record mbovu?

Huo msimu anaondoka Everton kwenye mechi 38 za ligi kashinda 17. Nenda kaangalie nani kafikia hiyo namba.
 
Msimamo mwisho wa msmu? Ancelloti hajafanya kitu maana cha maana Everton wala Napoli.
 
W
Wewe ukipewa ufundishe real madrid watachukua Uefa?....
Au hata apewe mgunda au kocha wa timu ya kawaida tu ulayaataweza?....siyo kazi rahisi kukaa na kuwafundisha wachezaji wakubwa!...
Watu Wana utani sana yani wanajua mpira unajiendea TU kisa una Modric na kamavinga
Ndio maana bongo tunafeli sana kwa kutoheshimu utaalam na maarifa ya watu
Imagine mtu anakwambia hata apewe mgunda hivi ingekuwa rahisi hivi PSG yenye Mbape Neymar Mess Ramos n.k si ingechukua Kila kombe
 
Sahihi Mkuu

Bado umri una ruhusu na tayari ameshatambulisha identity yake ya soka lake
Apewe fungu nono kwa maandalizi ya msimu ujao tayari kashaleta ushindani mzuri ndan ya Epl, bado kikombe kuchukua.
 
Kabisa Mkuu

Ila naamini timu yetu ipo salama mikononi mwa Arteta
Kwa ushindani anaozidi kuuonesha sina mashaka nae, kuweza kuturudisha UEFA CL ni wazi tuna usalama chini yake.

Huyu kipara wa man city ndio changamoto sana kwetu.

Ila wahispania wanajua sana kwenye ukocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…