Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ukiacha ulozi huku huwa kwenye soka ni mweupe sanaFeitoto anacheza nafasi ya Chama, sijui kama hata mpira mnaujuwa vizuri.
Mwalimu amejiridhisha kuwa hao wote ni magarasa hawana nguvu na speed ya kutosha.Ameshaanza na yeye visingizio. Yaani timu ina wqshambuliaji wanne; Kepteni John Bocco, Kibu Dennis, Habib Kiyombo na Moses Phiri! Halafu bado haridhiki tu!!
Kama vipi tumrudishe basi Dejan "Mlete Mzungu"
Kibu D ananguvu, Kasi na maarifa ya kufunga, kocha anataka kutupigisha shoti.
Yale yale ya mzunguKibu D ananguvu, Kasi na maarifa ya kufunga, kocha anataka kutupigisha shoti.