BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 706
- 1,716
Jezi hii iliyosainiwa na wachezaji wa Man United, tayari imeshatua nchini Tanzania na kukabidhiwa kwa Rais Samia.
Aliyeikabidhi jezi hiyo kwa Rais Samia ni mmiliki wa Man United, Sir Jim Ratcliffe katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu Dar es Salaam.
Sir Jim Ratcliffe ameeleza dhamira yake ya kuitumia Klabu yake kutangaza utalii nchini Tanzania huku Rais Samia akimkaribisha kuanzisha vituo vya mafunzo ya michezo (Sports Academy) hapa nchini.