Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000,
Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike

Inasemekana mchezo wa Kesho hatakuwepo kwenye bench la ufundi na badala yake atasimama Abdi Moallin Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya Young Africans

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
 
Side mnyamwezi katupa taulo mapema hivi? 🤣
1000235141.jpg
 
Back
Top Bottom