Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Ilikua swala la mda toka lini rama akawa kocha wa boli
20241209_194807.jpg
 
Hizi habari si za kweli! Ni za kupika.

Kocha yupo sana

Niamini mimi
 
Kwani hili nalo la kustaajabisha?

Club kama ile hatuwezi kuwa surprised kuona vibaka na wahuni wako ndani ya vitengo.

Na pengine hiyo ni moja ya sababu ya Sudi kumfanya asepe.
Tunamleta atakayekupaga 5 March 8
Usifurahi kupitiliza
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Na atatumia mchezo wa Kesho kuaga mashabiki wa Yanga

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Ni kweli anaondoka lakini sio kwa kufukuzwa isipokuwa anakwenda kuwa kocha mkuu wa CR belouzdad ya Algeria,,wamekubali kuvunja mkataba wake na kulipa fidia ya mkataba huo ili wamchukue na wametoa ofa kubwa sana ambayo kocha ameamua kukaa mezani na waajiri wake kukubaliana kuvunja mkataba huo na amekubaliwa!
 
Kama ni kweli basi jamaa atakuwa ana bahati lakini hamna kocha mule!!
 
Back
Top Bottom