Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Ukongwe sio ukubwa

Na huo ukongwe wa kiumri sio wa gap hilo ambalo mnaliongelea kiukubwa.

Ku-share sare na CCM kusiwapumbaze mkajiona ni mataita wakati background records zipo zinaonesha hata kuanza kuvaa viatu mlianza miaka ya 90
Mwanachama mtiifu wa Rage katika Moja na mbili
 
Unataka upewe sababu wakati majibu umeshapata kwa kumvunjia mkataba!! Angekuwa mzuri Yanga wasingekubali aondoke!
Kwani kocha akiajiriwa anakuwa amefungwa kufuli asiondoke? Ni mkataba Gani wa namna iyo ulishauona wapi? Kocha kapata malisho mazuri zaidi na vipengele vya kimkataba vimemruhusu kufanya alichokifanya sasa yanga wangemzuia? Pesa aliyowekewa na wale jamaa yanga wangeweza kumlipa ata kama wangetaka abaki?
 
Imekuwaje tena si mlimuita jerimani mashine
Mpira ni biashara, amepata maslahi pengine akakaa mezani wa waajiri wake akavunja mkataba
Haya ni mambo ya kiweledi ila kama mbumbumbu wa Rage huwezi kuelewa
 
Mimi ni Yanga! Ila lazima tukubali kocha Sead Ramovic siyo kocha wa kuifundisha hii Yanga ya sasa!

Yanga wanatakiwa kuajiri kocha mwenye historia iliyotukuka ya kufundisha vilabu mbalimbali vikibwa barani Afrika! Yaani kwa Yanga ilipofikia ni ya kuajiri makocha aina ya Ibenge! Na siyo Ramovic ambaye ndiyo mara yake ya kwanza kufundisha timu inayoshiriko mashindano ya Kimataifa!

NB: ila na nidhamu ya wachezaji nje ya uwanja nayo lazima idhibitiwe. Maana mpaka leo kuna wachezaji kama Pacome Zouzoua, siyo wale tulio wazoea hapo kabka, kutokana na viwango vyao kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
 
Kwahiyo mnataka tuamini kuwa ushindi wa mechi zilizokuwa chini yake mlitumia bahasha au mi ndiye sijaelewa....
Kumbe unaweza kushinda magoli kadhaa kwenye mechi kadhaa na ukatimuliwa pia!!!
Afrika tuko vizuri...😐😐s
 
Ni kweli anaondoka lakini sio kwa kufukuzwa isipokuwa anakwenda kuwa kocha mkuu wa CR belouzdad ya Algeria,,wamekubali kuvunja mkataba wake na kulipa fidia ya mkataba huo ili wamchukue na wametoa ofa kubwa sana ambayo kocha ameamua kukaa mezani na waajiri wake kukubaliana kuvunja mkataba huo na amekubaliwa!
Kwani ofa ya mzize ilikuwa ndogo?
 
Kwahiyo mnataka tuamini kuwa ushindi wa mechi zilizokuwa chini yake mlitumia bahasha au mi ndiye sijaelewa....
Kumbe unaweza kushinda magoli kadhaa kwenye mechi kadhaa na ukatimuliwa pia.
Afrika tuko vizuri...😐😐s
Hajatimuliwa mbona mbona mnaonyesha umbumbumbu wenu hadharani
Mpira ni biashara kocha kapata maslahi pengine
 
Amepata timu mpya Kaskazini mwa Africa Inaitwa RC Beluzdad.
Imempa ofa nono zaidi anaenda kupiga hela.

Amevunja mkataba na Yanga.

Ameagana na wachezaji leo na kuwaambia kesho mdio Mchezo wake wa Mwisho kabisa kama kocha wa Yanga


Alikuwa analipea USD 15000/=
Sasa anaenda kulipwa USD 40,000/=

Naomba kuwasilisha.
 
Kwahiyo mnataka tuamini kuwa ushindi wa mechi zilizokuwa chini yake mlitumia bahasha au mi ndiye sijaelewa....
Kumbe unaweza kushinda magoli kadhaa kwenye mechi kadhaa na ukatimuliwa pia.
Afrika tuko vizuri...😐😐s
Usiwe mbumbumbu kupitiliza nani kakwambia kocha katimuliwa?
 
Me sinaga habari za kuokoteza, utakuja kuniheshimu siku 1
Niko ndani ya Yanga
Umesikia kwa wadaku huko bana wee..uko ndani ya Yanga kama shabiki tuu topolo wewe...
Ndio anaondoka...
Poleni sana mna hali mbay mnoo
 
Back
Top Bottom