Nazungumzia ofa nonoSasa unataka kusemaje juu ya kocha na mzize?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia ofa nonoSasa unataka kusemaje juu ya kocha na mzize?
Wewe ni afisa habari msaidizi or mfua jezi?Me sinaga habari za kuokoteza, utakuja kuniheshimu siku 1
Niko ndani ya Yanga
Viwango wakati mwingine hushuka....Maana mpaka leo kuna wachezaji kama Pacome Zouzoua, siyo wale tulio wazoea hapo kabka, kutokana na viwango vyao kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
Wachezaji hawashikiki.Wakuu
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Sead Ramovic tayari amewaaga wachezaji na baada ya mchezo wa kesho Feb. 5 dhidi ya KenGold FC ataondoka ndani ya Yanga SC.
Sead Ramovic ameshawaaga wachezaji wote wa Yanga, kesho atatumia mchezo dhidi ya KenGold FC kuwaaga mashabiki pale KMC Complex.
Soma: Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha
Aende tu, Juzi nilisema huyu mwamba hafikishi Iddi.Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga
Na atatumia mchezo wa Kesho kuaga mashabiki wa Yanga
Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Kila kocha na Kila mchezaji anayo maamuzi yake kulingana na mkataba wake aliousaini,,usitake kulinganisha Kila kitu kwa maono yako,,Nazungumzia ofa nono
Tunamtaka Ibenge au Moisimane!!Yanga ni kubwa watakuja makocha wengine
Hata Gamondi ni sindano tu zimemsaidiaHana mbinu
Ni kweli ila msipanic,mwaka huu sijuiiiYanga ni kubwa watakuja makocha wengine
Bingwa wa kunywa supu ya vibuduYanga bingwa 🏆
Umenena vema, ila mara nyingi nidhamu za wachezaji wetu wa kimataifa huwa zinavurugwa na viongozi wenyewe.: ila na nidhamu ya wachezaji nje ya uwanja nayo lazima idhibitiwe. Maana mpaka leo kuna wachezaji kama Pacome Zouzoua, siyo wale tulio wazoea hapo kabka, kutokana na viwango vyao kuporomoka kwa kasi ya ajabu
Huyo Said Kichwa watamla kichwa kabla hata ya siku ya wapendanao
Bila mbeleko za kayoko leo ungeandika hayo kisa tofauti point moja Wazee wa makunduchi?Huyu asha wahi hata kupata draw kwa Yanga?
Duh!Yan hata kama hii habari haina uhakika ila kiukweli ni moja kati ya habari zilizonifurahisha sana. Naomba Mungu itokee kweli hii
Huyu asha wahi hata kupata draw kwa Yanga?