Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

Tutakukumbuka kwa mchango mkubwa kwa taifa.Sijui mchango gani labda kuwasamabazia dada zetu virus

Mie nakubaliana nawe sawa ingawa alikuwa kocha mzuri wa mpira LAKINI narudia tena LAKINI AMEWAUWA WENGI SANA WASIO NA HATIA KWA KUWASAMBAZIA VIRUS VYA UKIMWI najua mtanishambulia kwa kuwa nimesema amewauwa wengi NI KWELI AMEUWA WENGI KWASABABU ALIKUWA ANAJIJUA NI MWATHIRIKA NA ALIKUWA ANTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAISHA LAKINI BADO ALIKUWA ANACHUKUWA/ANATEMBEA NA MABINTI WENGI SANA,WAKE ZA WATU NA WATOTO WA SHULE PIA.

JE TUMESHAJIULIZA NI WANGAPI WATAKAOMFUATA MZIRAY BILA KUJIJUA KWA KUINGIA KWENYE CHENI YAKE.

NILIKUWA NAOMBA KWA MUNGU HUYU BABA AFE KWASABABU YA UCHUNGU NILIO NAO AMESAMBAZA KWA MAKUSUDI SANA VIRUSI VYAKE KWA WATU WASIO NA HATIA. NI HERI AMEKUFA APUMZIKE.

nimetoa dukuduku langu moyoni poleni wafiwa ila ukweli ndio huo naomba tubadilike jamani
 
Unaogopa kushambuliwa au unaogopa kusifia ufuska.
 
Super Coach is more!
Sylesaid Mziray Amefariki duni asubuhi ya leo katika hospital ya Aga Khan.:A S cry:
 
Ni kweli au na leo mmemzushia tena??? Jamani hebu nunueni mwana halisi la leo ni toleo maalum, wameandika makala nzuri sana zenye ukweli wa kiukweli
 
R.I.P Mziray. We will live to remember you for many things, including your contribution to the development of soccer in Tanzania
 
Finally, "the super coach" mziray is dead: may the almighty God rest his soul in eternal peace
 
Pole kwa familia yote ya Mziray, May Almight God rest his soul in peace. Amen.
 
Kocha msaidizi wa timu ya Simba, super coach, Syllersaid Mziray amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika hospital ya Aghakan alikokuwa amelazwa.kocha huyo maarufu ambaye alikuwa mshauri mkuu wa simba alifikwa na umauti huo baada ya kuugua kwa muda mrefu.
kwa habari zaidi ungana nasi baadaye(Source mwananchi)
 
It is very sad Wakuu! But we have nothing to do than just accepting the reality though it is very difficult. R.I P Super Coach Mziray. We will always remember U.

R.I.P
 
Mungu awape moyo wa uvumilivu familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi
 
Bwana ametoa,bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!!!
 
Back
Top Bottom