Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

R I P Mziray. Poleni wafiwa na mungu awatie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.:sad:
 
Huu ndiyo utabiri wa sheikh wa waislamu
 
Pole kwa familia yake, wafanyakazi wenzake the Open University of Tanzania na wanamichezo wote.
 
RIP Mziray,Bwana ametoa na pia ametwaa,jina lake lihadimiwe ameni!
 
Ni pigo kubwa kwa wapenda soka nchini. Apumzike kwa amani. Ni vema kumuenzi kwa kuendeleza yale mema aliyoyafanya
 
Back
Top Bottom