Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

Kuna watu walisubiri hiki kifo cha Mziray kwa hamu kuliko walivyosubiria uchaguzi wa kesho. Kafariki sasa, wanasimba tunahuzunika, are you guys happier now? Kura yake pia kafa nayo, so sad. Tuwe na subira kipindi hiki, tuiombee na familia yake uvumilivu wa kukabiliana na msiba huu.
 
binafsi nimesikitika sana, kwanza kama mwana simba na pia kama mwanamichezo, atakumbukwa kwa mengi ikiwemo kocha aliyetuletea kombe la chalenji mara ya mwisho mwaka 1994,

mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema, AMIIN, RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea (atatupa jaza (yake)
 
Super Coach is no more!!
alifanya kitu gani cha kuwa "super coach"? alishinda championship ngapi? Ana takwimu zipi, kashinda mechi ngapi, na wenzake walishinda ngapi? Ali raise wachezaji gani super stars? Amewahi kutambuliwa na tuzo gani? Ali introduce kitu gani katika mpira kipya, cha kuitwa "super coach"?
 
Nenga "mwanangu" nenda, Tangulia tangulia tangulia mwanangu nenda
 
UKIMWI UPO,rest in peace Mzirai ila umeacha chain kubwa sana kwa jinsi ulivyoonekana afya nono,watu walikuwa hawaamini.
 
RIP Mzirai lakini kwa nini asingempigia kura SLAA kwanza ndo akafa? au ndo huyo mchawi alietajwa na JK Leo kua ameshakufa? poleni jamani
 
RIP kocha Mziray, mwanangu and super coach. Mzee wa six packs. Nawapa pole wafiwa wote.
 
Back
Top Bottom