Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

Rest in Peace Mwagito! Twiwonaga uko kwa nguluvi!
Uhwa mumutima gwangu Mnyidama!
Ulongwe Silversaid tukusa vayagoo!
''lung'ulye maama lung'ulye aah! Aaah'
 
Sasa una ushahidi gani kwa hizi allegations zako?
umewahi kumfumania live au stori tu za kusikia mitaani.
Anyway ,Mungu atusamehe sisi wote kwa kuwa hakuna mkamilifu hata mmoja.sie wote tumetenda dhambi na tunaendelea kutenda........
 
Hata mi nimepewa stori na ndugu yake wa karibu kuwa alishaukwaa tangu siku nyingi mno.

Chain ni kubwa sana. God hv Mercy on us.
 
RIP Mziray Mungu ailaze roho yako mahali pema. Wewe umetangulia nasi tu nyuma yako.
 
Sasa una ushahidi gani kwa hizi allegations zako?
umewahi kumfumania live au stori tu za kusikia mitaani.
Anyway ,Mungu atusamehe sisi wote kwa kuwa hakuna mkamilifu hata mmoja.sie wote tumetenda dhambi na tunaendelea kutenda........

Ushahidi gani unataka dada, kwamba wapost hapa Elisa test za watu hao? maadili ya JF hayaruhusu. Ukitaka kuamini kama Tomas unaweza kukumbwa na matatizo hasa kwenye jambo kama hili.
 

Ni kweli una haki ya kutoa maoni yako kama mtanzania aliyehuru. Lakini wewe kama mzalendo mwenye uchungu na nchi yako kama uliliona hili jambo ambalo si la kiungwana ulifanya nini kulikemea/zuia? au ndo nyie mnaoishia kutizama na kufurahia huku mkisubiri kuja kupiga makofi siku yakiharibika? Ulifanya nini kukemea hili uliloweka hapa ili siku nawe ukiondoka tukukumbuke kwalo kuwa jamaa alikuwa mpiganaji walikemea vitendo vichafu vilivyokuwa vinafanywa na kocha.....????

Kuweni na utu. Huwezijua hiyo chain unayoisema kama haijakuathiri wewe pia kwa namna moja au nyingine... huna dada, kaka, au ndugu yoyote ambaye anawezakuwa kapata madhara kupitia chain hii..........
 
Rest in peace super coach! Nitakukumbuka kwa mechi ya tarehe 31october 2009 kati ya Simba SC na Young http://matukiouk.blogspot.com/2009/10/simba-1-yanga-0.html!


Also will be remembered for:

He remains the only local coach who was accepted at the Msimbazi Street as he was welcomed at the Jangwani area. He managed to guide the Mainland national team to clinch the Council of East and Central Africa Football Associations (CECAFA) championship in 1994 in Nairobi, Kenya (source: Daily News)
 
sasa una ushahidi gani kwa hizi allegations zako?
Umewahi kumfumania live au stori tu za kusikia mitaani.
Anyway ,mungu atusamehe sisi wote kwa kuwa hakuna mkamilifu hata mmoja.sie wote tumetenda dhambi na tunaendelea kutenda........

polen ndugu najua lazima utakuwamuathirika wa hii chain,usikate tamaa na wewe gawa chain yako ukumbukwe
 
ukimwi upo,rest in peace mzirai ila umeacha chain kubwa sana kwa jinsi ulivyoonekana afya nono,watu walikuwa hawaamini.

super coach mashemeji zako huku airport watakukumbuk a na pweza uliokuwa ukitununulia..kale kabinti katalia milele ingawaa kalikufwata hali kakijua kuna binti ukuku ulikuwa nae ameondoka...r.i.p mziray.s
 
Au ndio yale mambo ya sheikh yahya mgombea atakufa wagombea wakawa wamejiandaa ikamrukia mzee wetu..
 
Mi nafikiri mziray amemaliza kazi yake dunian ameondoka swala tujiulize sisi tuliobaki tumejiandaaje wapo pamoja na kujua mtu huyu alipitiwa na huyu lakini wanapita pale pale..so mziray kamaliza kazi yake aliotumwa dunia,kama ana makosa atakuwa ameanza kuulizwa uko aliko na kuonyeshwa sinema yake yote...je we umejiandaje kuponya roho yako...???hillo ndilo jambo muhimu tuendelee kuongelea hapa..hata tuseme mziray alikuwa hivi amegawa hivi atofufuka..saa yake imeshapta....je wee unaemwongeleea umejiwekaje kuiacha dunian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…