David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Amenukuliwa na gazeti la African magazine sports kwamba kwa sasa katika group lao timu wanayohiofia ni young africa sport, alihojiwa kuhusu CR Belouzdad na Medeama akasema vijana wa yanga Africa wapo vizuri zaidi ya hao na wasipokuwa makini wanaweza kupoteza game zote home/away.
Mbali zaidi alianza kuwafatilia Young Africa tangu walivyopangwa nao group moja na wachezaji ambao wenye hatari amewataja Pacoume Zouzou na Max Nzengeli.
NB: Nahisi kipigo kitakatifu alichokutana nacho kibonde wa Al Ahly, Simba sport club kimemfikirisha sana kocha wa Al ahly Marcel Koller yenye maskani yake pale Cairo.
BADO HAMJASEMA