Kocha wa Al Ahly, Marcel Koller: Yanga ndio timu tunayoitizamia kwa sasa

Kocha wa Al Ahly, Marcel Koller: Yanga ndio timu tunayoitizamia kwa sasa

Nipo sehemu nimetulia kuna jamaa kapita anaongea na simu akisema Simba imekuwa unga
 
Ila Yanga tukitulia na kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, tunaweza kuongoza kwenye kundi letu.

NB:- Djugui Diarra anatakiwa kubadilika na pia apunguza masihara. Mechi na Ihefu alitufungisha goli la kwanza, na kwenye mechi na Simba akarudia tena makosa yale yale kwenye lile goli lao la kufutia machozi.

Alikosea sana, haraka za kupigapota zilitugharimu, na alileta usumbufu kwa mabeki.
 
Back
Top Bottom