David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Litafute mtandaoni uletewe habari hadi gazeti uletewe!Story za juma na uredi....hilo gazeti like wapi tulione.
Subiri Ahmed Ally akusomee ndio utaaminiStory za juma na uredi....hilo gazeti like wapi tulione.
Wewe endelea kumsikiliza Ahmed AllySource : Nisikilize Mimi.
Mgema amesifiwa sana, au siyo?Djugui Diarra anatakiwa kubadilika na pia apunguza masihara.
Yanga ya sasa ni tishio kuliko yanga ya kina mayele,tumekosa namba 9 tu kama mayele angekuwepo yanga ingeitwa cancerIla Yanga tukitulia na kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, tunaweza kuongoza kwenye kundi letu.
NB:- Djugui Diarra anatakiwa kubadilika na pia apunguza masihara. Mechi na Ihefu alitufungisha goli la kwanza, na kwenye mechi na Simba akarudia tena makosa yale yale kwenye lile goli lao la kufutia machozi.
Sometimes ana utoto kama wa Inonga hasa timu ikiwa inaongozaIla Yanga tukitulia na kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, tunaweza kuongoza kwenye kundi letu.
NB:- Djugui Diarra anatakiwa kubadilika na pia apunguza masihara. Mechi na Ihefu alitufungisha goli la kwanza, na kwenye mechi na Simba akarudia tena makosa yale yale kwenye lile goli lao la kufutia machozi.
Utoto wa inonga ipo siku yake akichomesha ndio atajua rangi halisi za makoloSometimes ana utoto kama wa Inonga hasa timu ikiwa inaongoza
Sahihi kabisa. Kocha wake anatakiwa kumshauri abadilike.Sometimes ana utoto kama wa Inonga hasa timu ikiwa inaongoza
Story za juma na uredi....hilo gazeti like wapi tulione.
ππππWewe endelea kumsikiliza Ahmed Ally
Duh. Hata sikujua hili. Kumbe goli la pili kwenye mechi alisababisha yeye?Sahihi kabisa. Kocha wake anatakiwa kumshauri abadilike.
Imagine kwenye mechi ya juzi na simba, baada tu ya timu kupata goli dakika ya 3 tu ya mchezi, akaanza eti kupoteza muda!! Na dakika chache baadaye akafanya makosa yaliyosababisha goli la kusawqzisha.
Hahaha Ahmed Ally hayupo sawa kisaikolojia.Wewe endelea kumsikiliza Ahmed Ally
Kwenye Mechi ya Simba labda mm sikuona vizuri. Binafsi naamini chanzo cha goli lile ni Musonda. Yanga imekuwa ikifungwa magoli ya Aina hiyo Kwa miaka 3 mfululizo. Anzia fainali ya FA Kigoma goli la Thadeo Lwanga, Mechi na Azam mwaka Jana goli la Asamoah, na juzi goli la Kibu. Kipa anazuiaje Kona inayodondoka near post zaidi ya mabeki kuhakikisha mpira unarudi ulikotoka? Ukiniambia Diara alishindwa kupanga Wachezaji wake nitakubaliana na wewe Mkuu.Ila Yanga tukitulia na kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, tunaweza kuongoza kwenye kundi letu.