Ila Yanga tukitulia na kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, tunaweza kuongoza kwenye kundi letu.
NB:- Djugui Diarra anatakiwa kubadilika na pia apunguza masihara. Mechi na Ihefu alitufungisha goli la kwanza, na kwenye mechi na Simba akarudia tena makosa yale yale kwenye lile goli lao la kufutia machozi.