- Thread starter
- #21
Walipigwa mwanzoni mwa msimu (ngao ya jamii)
Na simba pia walipata bahati ya sare kwenye mchezo wa awali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na simba pia walipata bahati ya sare kwenye mchezo wa awali.
Kwani Makolokolo Fc Ina Ubora Gani Tuanzie Hapo?Utopolo haina ubora wowote.
Bila shaka itakuwa bonge la rekodiYuko sahihi kabisa! Kwa mpira ule, unashindwaje kumpongeza mpinzani wako? Go go Yanga! Inawezekana kabisa kuchukua ubingwa msimu huu, huku tukiwa hatujapoteza hata mchezo mmoja.