Kocha wa Azam anena haya kuhusu Yanga

Kocha wa Azam anena haya kuhusu Yanga

Yuko sahihi kabisa! Kwa mpira ule, unashindwaje kumpongeza mpinzani wako? Go go Yanga! Inawezekana kabisa kuchukua ubingwa msimu huu, huku tukiwa hatujapoteza hata mchezo mmoja.
Bila shaka itakuwa bonge la rekodi
 
Back
Top Bottom