Sasa kama Ile siku ya Fainali ya Ngao ya hisani mwamba kaanza na mfumo wa 3-4-3 kwanini asichezee nyingi Kwa timu kama Yanga yenye wachezaji wanaoanzisha Pasi za haraka na kupiga krosi au kutumia mabeki wa pembeni wanao-act kama mawinga, Left wing back LWB...