Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Sada Salehe mtoto wa chumbageni kaua kipaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chungulia PM watu wanauliza huyo mganga ni wa wapi....Mentor wangu alikuwa ananipa somo juu ya ishu fulani ilikuwa inanitatiza akanipa mfano wa huyu jamaa kuwa alipata umaarufu kupitia mganga mmoja huko bagamoyo mwisho wa siku akakosea sharti,samahani nimelisahau
Chungulia PM watu wanauliza huyo mganga ni wa wapi....
Ondoa umasikini wa Watanzania wote nami nitakuaminiMganga ni mimi hapa. Mwenye tatizo la aina yoyote anione PM.
Nasafisha nyota, tatizo la ajira(hata kama hujasoma we nione tu), cheo kazini, kurudisha mpenzi wa zamani aliekukataa, kununua gari au nyumba, jinsi ya kumfanya baba mwenye nyumba akusahau kodi, naondoka tatizo la umeme kukatika hovyo hovyo. Msongo wa mawazo, ukimwi, gonorrhea, kaswende...
mamayooo.......sijui inaishiaga hivo....
yupo mwanza kuna bendi ndio anaimba hapoHuyu jamaa nakumbuka aliteka sana kipindi cha nyuma katika soko la mziki wa dansi Yaani kusema kweli aliweza sana kuanzia mchinga sound mpaka kwenye bendi za Manyangau twanga sijui huyu jamaa yu wapi!
Akaoa pisi moja ya kuitwa Sada SarehMentor wangu alikuwa ananipa somo juu ya ishu fulani ilikuwa inanitatiza akanipa mfano wa huyu jamaa kuwa alipata umaarufu kupitia mganga mmoja huko bagamoyo mwisho wa siku akakosea sharti,samahani nimelisahau
You mwanamke mtam jamani smlaumu kocha wa duniaAkaoa pisi moja ya kuitwa Sada Sareh
mutoto ya Tanga kunani palee😁
Badae akaishia kuchapiwa na masela
KabisaMkuu hakuna aliyeua kipaji ,bali kila kitabu na zama zake,hivi wapi umesikia kwa hivi sasa muziki wa bendi au bolingobolingo unashadidiwa hapa nchini Tanzania,hebu nitajie kama kuna bendi ambayo ipo na inajazaa nyomi kwa kupiga muziki wa bendi,hao Ngwasuma tu wapo chali,Twanga wapo chali,Msondo ndio usiseme,Sikinde wapo jina sasa huyo Mwinjuma atawikia wapi,uliza akina Ally Choki wapo wapi? Muziki wa wazee nani atausikiliza siku hizi wakati robo tatu ya Watanzania ni vijana,wanaohangaika na nyimbo za Tetema ,au Nyegezi halafu wewe usema Mwinjuma ,nani anamjua Mwinjuma katika kizazi cha sasa?Kwa kifupi hata Mchinga ifufuliwe au sijui Msondo ifufuke hakuna itakayokuwa maarufu,dunia imegeuka,hata hii Bongo fleva kuna siku itakuwa zilipendwa na Domo atasahaulika