Kocha wa Esperance awahofia Simba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda Pyramids tyuuh, hawa wengine Yanga akikaza anatoboa.
 
Uchambuzi wangu

Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo

Ili makolo Wapigwe nyingi....
Hivi wewe Utopolo kupangwa na timu fulani unaomba au inachezeshwa droo..toa huo mwiko huko nyuma unapoteza umakini wako.
 
Kwa hiyo wanashangilia mnyonge wao ameingia kwenye 18 zao!! "wananchi" wanatia huruma!
 
Simba ni taifa kubwa, huyu ana haki ya kuwa na hofu.
 
Hujawahi hata kucheza fainali achilia mbali kubeba Kombe afu unajiita Kigogo, hayo ndio matatizo ya AKILI sasa.
Vigogo ni akina nani??vigogo ni zile timu bora kumi afrika kwa mujibu wa viwango vya caf,au fifa.Asante.
 
kwenye kombe la losers/walioshindwa sawa! nikukumbushe kuwa yanga walikuwa kwenye mashindano ya mabingwa wakashindwa na kutolewa! wakapelekwa kwa washindwa wenzao! Huko wanasukumana walevi kwa walevi!!
Huku shirikisho ndio kugumu zaidi ..... that's y mlitumia uchawi sana ingawa mlifurushwa mapema zaid
 
Ni mbovu ila haiwezi kuwa kama zilivyo Tp Mazembe na Bamako.
Mazembe na namakon ni hatari......but inategemeana wamekutana na timu gani

Mfano koloz walipigwa kipigo heavy na mazembe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda Pyramids tyuuh, hawa wengine Yanga akikaza anatoboa.
Hakika mkuu.....naona umeanza kupata akili .....
 
Siwezi kuliamini hilo hao huwa wanatuchora tu yani Esperance kabisa labda
 
Hivi wewe Utopolo kupangwa na timu fulani unaomba au inachezeshwa droo..toa huo mwiko huko nyuma unapoteza umakini wako.
Geita waliombea kuPangwa n Yanga.....what happened
 
Mazembe na namakon ni hatari......but inategemeana wamekutana na timu gani

Mfano koloz walipigwa kipigo heavy na mazembe

Team iliyofungwa mechi 5 kati ya 6 inawezaje kuwa hatari?

Mazembe ilikuwa ni nyama ya kundi ndiomaana kula mtu alijipigia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…