Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni mbovu ila haiwezi kuwa kama zilivyo Tp Mazembe na Bamako.Kwani horoya ni timu ngumu????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mbovu ila haiwezi kuwa kama zilivyo Tp Mazembe na Bamako.Kwani horoya ni timu ngumu????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda Pyramids tyuuh, hawa wengine Yanga akikaza anatoboa.Timu zilizoshika nafasi ya pili katika makundi ya shirikisho
Kundi A: USM Alger: Huyu alifanikiwa kuongoza kundi D la shirikisho mwaka 2018...aliibugiza Yanga goli 4-0 pale jijini algers katika mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi...itoshe kusema kuwa yanga aliburuza mkia akiwa na jumla ya alama 4 nyuma ya Gormahia,Rayon sport na USM Alger
Kundi B: Rivers United ....huyu aliwazamisha mwiko utopolo nyumbani na ugenini
Kundi C: Pyramids...licha ya Yanga kuihamisha mechi ikachezwe kirumba mwaka 2019...Pyramids walikimaliza kipakti cha Salama kwa goli tayu za kibabe na kule misri waliwafunga utopolo bao 2....Yanga aliaga mashindano ya shirikisho kwa staili hiyo.
Hivyo yanga anakwenda kukutana na wajanja wake na itoshe kusema kuwa wameumaliza mwendo
Hivi wewe Utopolo kupangwa na timu fulani unaomba au inachezeshwa droo..toa huo mwiko huko nyuma unapoteza umakini wako.Uchambuzi wangu
Huyu kocha naona anataka Wana lunyasi waombee wapangwe nae .....then waingie kwenye mfumo
Ili makolo Wapigwe nyingi....
Kwa hiyo wanashangilia mnyonge wao ameingia kwenye 18 zao!! "wananchi" wanatia huruma!Timu zilizoshika nafasi ya pili katika makundi ya shirikisho
Kundi A: USM Alger: Huyu alifanikiwa kuongoza kundi D la shirikisho mwaka 2018...aliibugiza Yanga goli 4-0 pale jijini algers katika mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi...itoshe kusema kuwa yanga aliburuza mkia akiwa na jumla ya alama 4 nyuma ya Gormahia,Rayon sport na USM Alger
Kundi B: Rivers United ....huyu aliwazamisha mwiko utopolo nyumbani na ugenini
Kundi C: Pyramids...licha ya Yanga kuihamisha mechi ikachezwe kirumba mwaka 2019...Pyramids walikimaliza kipakti cha Salama kwa goli tayu za kibabe na kule misri waliwafunga utopolo bao 2....Yanga aliaga mashindano ya shirikisho kwa staili hiyo.
Hivyo yanga anakwenda kukutana na wajanja wake na itoshe kusema kuwa wameumaliza mwendo
Vigogo ni akina nani??vigogo ni zile timu bora kumi afrika kwa mujibu wa viwango vya caf,au fifa.Asante.Simba ni kigogo ...mm naona bado n underdog
Vigogo ni akina nani??vigogo ni zile timu bora kumi afrika kwa mujibu wa viwango vya caf,au fifa.Asante.Hujawahi hata kucheza fainali achilia mbali kubeba Kombe afu unajiita Kigogo, hayo ndio matatizo ya AKILI sasa.
Huku shirikisho ndio kugumu zaidi ..... that's y mlitumia uchawi sana ingawa mlifurushwa mapema zaidkwenye kombe la losers/walioshindwa sawa! nikukumbushe kuwa yanga walikuwa kwenye mashindano ya mabingwa wakashindwa na kutolewa! wakapelekwa kwa washindwa wenzao! Huko wanasukumana walevi kwa walevi!!
Mazembe na namakon ni hatari......but inategemeana wamekutana na timu gani
Mfano koloz walipigwa kipigo heavy na mazembe