kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ndio matokeo yake said akasema ligi ya NBC ni dhaifu sababu ya mexime!Ata fadlu na benchikha walipanga wachezaji wa akiba na wakatandikwa vile vile kwaiyo akuna maajabu Mexime aliyoyafanya kupanga kikosi cha akiba!