Kocha wa Galaxy: Msimu ujao Simba wabadilishe kikosi wachezaji ni wazee

Kocha wa Galaxy: Msimu ujao Simba wabadilishe kikosi wachezaji ni wazee

vipi matokeo yakawa tofauti na kauli yake.
huyo ni kocha au ni afisa habari wa timu?
 
Labani og mwambie kocha wako team yake iko wapi hapa?
Screenshot_20240302-145426_Instagram.jpg
 
jamaa kawapa makavu anasema kucheza viwanja vimejaa mashabiki wa timu pinzani ni kawaida kwao wamecheza morocco wakampasua wydad kwahio kwa mkapa sio kesi
 
Back
Top Bottom