Kocha wa Galaxy: Msimu ujao Simba wabadilishe kikosi wachezaji ni wazee

Kocha wa Galaxy: Msimu ujao Simba wabadilishe kikosi wachezaji ni wazee

jamaa kawapa makavu anasema kucheza viwanja vimejaa mashabiki wa timu pinzani ni kawaida kwao wamecheza morocco wakampasua wydad kwahio kwa mkapa sio kesi
asitafte Namna ya kujifariji Mvua ya Magori io pale pale kocha wa Uroya naye alikuja na bwebwe kama zote ila kilichomkuta had kesho hatamani kurudi Bongo
 
"Msimu ujao Simba italazimika kubadili nusu ya timu kwa sababu ya mambo mengi, umri ni moja wapo".

- Morena Ramoreboli, Kocha wa Jwaneng Galaxy

#FutbalPlanetUpdates
#CAFCL
[emoji2788]𝙆𝙊𝘾𝙃𝘼 𝙒𝘼 𝙅𝙒𝘼𝙉𝙀𝙉𝙂

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kazi ya kuishauri Simba kapewa na Nani?
 
Nawashangaa Simba SC wametangaza kufanya kisasi na sisi Jwaneng Galaxy kwanini wasifanye kisasi cha kufungwa mabao 5 (na Yanga) Kwanza waliyofungwa hapa !! Sisi hatufahamu mambo ya kisasi na badala yake tumekuja kutafuta ushindi"

[emoji2399] Morena Ramoreboli
Kocha wa klabu ya Jwaneng Galaxy

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Haya sindikizeni wageni eyapoti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio 5 tumempa na la nyongezaaaa.
 
"tumesikia wanaitwa makolo, baada ya kufika tumebaini kuwa hawa kweli ni makolo, tunasikutika kwakuwa Yanga ilishindwa kuwafunga 10 sisi tutawapiga 8 bila ili iwe fundisho"
Morena Ramoreboli
Kocha wa klabu ya Jwaneng Galaxy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari anayo kwa sasa.
 
jamaa kawapa makavu anasema kucheza viwanja vimejaa mashabiki wa timu pinzani ni kawaida kwao wamecheza morocco wakampasua wydad kwahio kwa mkapa sio kesi
Habari unayo? Au nikujuzee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee sanaaa.
 
Hakuna kijiji ambacho hakina wazee ndo maana Jana umejionea kuwa uzee ni dawa.
 
Back
Top Bottom