Kocha wa Galaxy: Msimu ujao Simba wabadilishe kikosi wachezaji ni wazee

jamaa kawapa makavu anasema kucheza viwanja vimejaa mashabiki wa timu pinzani ni kawaida kwao wamecheza morocco wakampasua wydad kwahio kwa mkapa sio kesi
asitafte Namna ya kujifariji Mvua ya Magori io pale pale kocha wa Uroya naye alikuja na bwebwe kama zote ila kilichomkuta had kesho hatamani kurudi Bongo
 
Kazi ya kuishauri Simba kapewa na Nani?
 
Haya sindikizeni wageni eyapoti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio 5 tumempa na la nyongezaaaa.
 
"tumesikia wanaitwa makolo, baada ya kufika tumebaini kuwa hawa kweli ni makolo, tunasikutika kwakuwa Yanga ilishindwa kuwafunga 10 sisi tutawapiga 8 bila ili iwe fundisho"
Morena Ramoreboli
Kocha wa klabu ya Jwaneng Galaxy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari anayo kwa sasa.
 
jamaa kawapa makavu anasema kucheza viwanja vimejaa mashabiki wa timu pinzani ni kawaida kwao wamecheza morocco wakampasua wydad kwahio kwa mkapa sio kesi
Habari unayo? Au nikujuzee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee sanaaa.
 
Hakuna kijiji ambacho hakina wazee ndo maana Jana umejionea kuwa uzee ni dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…