Mechi 16 kitu gani ilhali bado ataendelea kujihusisha na mambo ya mpira? Adhabu nyepesi kama hizi ndizo zinapelekea makocha wakose nidhamu kwa marefa. Ilitakiwa huyu afungiwe sio chini ya miaka 2 asijihusishe na mpira kabisa ili liwe fundisho kwa washenzy wengine kama yeye.Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.
Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Swatziland au?Kwa mwanamke Kifuani ni sehem ya siri ndomaana Si ajabu mwanaume kuwa kifua wazi akiwa Beach.... ila akiwa kifua wazi Mwanamke hiyo ni habari nyingine.
Duh. Aombe yaishe huo huko kwenye michezo. Hilo ni kosa la ubakaji kama kumkonyeza mwanamke.Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.
Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Huyu alipaswa kufungiwa maishaKocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.
Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Mbona umeandika kama huna PUMBU?Vichaa ni wengi sana humu jf.
Halafu mwanaume wa kweli hafanyi huo ujinga tatizo mashoga mmekuwa wengi sana.Maana ni ajabu mwanaume wa kweli kumuonea wivu mwanamke,eti wachezeshe game za kike..pathetic
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndiyo kazi unaiweza!Mbona umeandika kama huna PUMBU?
Makasiriko ya nini, kila mtu na maoni yake.
Machoko ndio mnatabia za kukasirika kasirika hovyo.
Kwahiyo mie kusema WANAWAKE wenzio wakachezeshe ligi za kwenu huko umekasirika unakuja na OMO.
[emoji1787][emoji23]
Mimi mwenyewe nakerwa sana na hiki kitendo cha kulazimisha wanawake kuchezesha mechi za wanaume.Mpira unakosa ladha. Wanawake wa deal na majukumu yao na siyo vinginevyo.Wanawake wachezeshe mechi zao si wana ligi yao??
Usingenjibu huyu ngombe yy mbona mama ake hatembei kifua waziKwa mwanamke Kifuani ni sehem ya siri ndomaana Si ajabu mwanaume kuwa kifua wazi akiwa Beach.... ila akiwa kifua wazi Mwanamke hiyo ni habari nyingine.
Mbona Brazil na Argentina kuna marefa wengi sana wa kike wanaochezesha ligi za wanaume lakini hawafanyiwi udhalilishaji?Wanawake wachezeshe mechi zao si wana ligi yao??
Ndiyo mkuu ulishawahi kuona matiti ya mwanamke hadharani ukiacha ya mama anayenyonyesha?Kifuàni ni sehemu za Siri siku hizi?
Kumshika mwanamke sehemu za siri its criminal anatakiwa apelekwe mahakamani tu ,wahuni hatuwataki kwenye mpiraKocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.
Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.
Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Kwa hiyo wakiwa wananyonyesha siyo sehemu za Siri tena?Ndiyo mkuu ulishawahi kuona matiti ya mwanamke hadharani ukiacha ya mama anayenyonyesha?
SIo huko tu duniani kote kuna marefa wanawake wanachezesha mechi za wanaume hata hapo uingereza tuMbona Brazil na Argentina kuna marefa wengi sana wa kike wanaochezesha ligi za wanaume lakini hawafanyiwi udhalilishaji?
Hivi ikitokea mwanamke akayaweka wazi maiti yake utamuweka kwenye kundi gani?Kwa hiyo wakiwa wananyonyesha siyo sehemu za Siri tena?
Ana kesi mbili za kujibu, home and away 😂Hii anaendaje kuiwasilisha kwa mke wake...?🤣
ya kwamba "nimesimamishwa kazi kwa kumshika muamuzi nyonyo!."
ubinadamu ni kazi sana!
ubinadamu ni kaziAna kesi mbili za kujibu, home and away 😂