Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Ukiachana na kucheza ligi kuu ya Uingereza na timu ya Blackburn mpaka akataka kusajiliwa Chelsea. Huko alikotoka amefanya nini cha maana katika profile ya ukocha mpaka tuanze kupapatika na makocha kama huyu unayemuita mwenye CV kubwa.View attachment 3249028
Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii.
Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown city,Manchester united(kocha wa washambuliaji) na Sinti Tuiden kama kocha msaidizi.
Tanzania Tunakwama wapi kutafuta kocha mwenye CV nzito?
Anaitwa nani?CV haifundishi, Zambia wanakocha alifundisha Chelsea ila hawakufua dafu mbele ya Hemed Suleiman "Morocco"
Avram GrantAnaitwa nani?
Hapo sawa, nikadhani alikuwa kocha wa Chelsea kumbe likuwa technical directorAvram Grant
Tena alikuwa technical director then head coachCV haifundishi, Zambia wanakocha alifundisha Chelsea ila hawakufua dafu mbele ya Hemed Suleiman "Morocco"
Hapo sawa, nikadhani alikuwa kocha wa Chelsea kumbe likuwa technical director
Lakini alinyooshwa na Hemmed Morocco
Bila tabu yoyote.Lakini alinyooshwa na Hemmed Morocco
Huyo sio kocha wa Man UtdView attachment 3249028
Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii.
Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown city,Manchester united(kocha wa washambuliaji) na Sinti Tuiden kama kocha msaidizi.
Tanzania Tunakwama wapi kutafuta kocha mwenye CV nzito?
HaHuyo sio kocha wa Man Utd
Ukiachana na kucheza ligi kuu ya Uingereza na timu ya Blackburn mpaka akataka kusajiliwa Chelsea. Huko alikotoka amefanya nini cha maana katika profile ya ukocha mpaka tuanze kupapatika na makocha kama huyu unayemuita mwenye CV kubwa.
Kocha wa Man Utd ni Amorim
Avram Grant,mwana wa Israel,Simba wa Yuda ,kaka yake Bibi na Dad.Hao ni Beny Netanyahu na David BarneaAnaitwa nani?
Avram Grant alikua kocha wa Chelsea na ndio aloifikisha timu ya Chelsea fainali na UCL mwaka 2008 wakafungwa na Man Utd kwa penalty baada mechi kuisha 1-1 dakika 90.Hapo sawa, nikadhani alikuwa kocha wa Chelsea kumbe likuwa technical director