Kocha wa MAN U kuifundisha Harambee stars

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
1740474492255.jpg

Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii.

Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown city,Manchester united(kocha wa washambuliaji) na Sinti Tuiden kama kocha msaidizi.

Tanzania Tunakwama wapi kutafuta kocha mwenye CV nzito?
 
Namkumbuka sana Benni McCarthy. Kwenye timu ya Taifa ya South Africa alitisha sana na wenzake akina Dr.Khumalo, Philemon Masinga,Lucas Radebe na Mark Fish. Baadae wakaja akina Siyabonga Nomvete.

Hiyo ndo South Africa ya soka, achana na vile vitoto vilivyopo leo visivyojitambua. Soka lilikuwepo zamani, siyo leo.
 
View attachment 3249028
Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii.

Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown city,Manchester united(kocha wa washambuliaji) na Sinti Tuiden kama kocha msaidizi.

Tanzania Tunakwama wapi kutafuta kocha mwenye CV nzito?
Ukiachana na kucheza ligi kuu ya Uingereza na timu ya Blackburn mpaka akataka kusajiliwa Chelsea. Huko alikotoka amefanya nini cha maana katika profile ya ukocha mpaka tuanze kupapatika na makocha kama huyu unayemuita mwenye CV kubwa.
 
View attachment 3249028
Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii.

Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown city,Manchester united(kocha wa washambuliaji) na Sinti Tuiden kama kocha msaidizi.

Tanzania Tunakwama wapi kutafuta kocha mwenye CV nzito?
Huyo sio kocha wa Man Utd
 
Back
Top Bottom