Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoa ushauri Kama nani!? Kwa waafrica ama waarabu!?Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
Huenda Morocco wamefungua njia kwa nchi nyingine za Africa hasa sub-sahara kufika hatua hiyo au hata fainali miaka ijayo......In short, ni kama timu zinaenda kushiriki na sio kushindana, but finally Morocco wameonesha kwamba tunaweza kufanya makubwa zaidi!
Nakubaliana na wewe...Huenda Morocco wamefungua njia kwa nchi nyingine za Africa hasa sub-sahara kufika hatua hiyo au hata fainali miaka ijayo......
Kila jambo lina awali na Morocco wamepambana kukata utepe na kuvunja hicho kizuizi cha kihistoria kwa hili bara.
Hii tabia ya kujiweka " inferior " lini mtaacha eeh?Hakua na haja kupoteza nguvu kutoa ushauri kwa ngozi ya ajabu ulimwenguni. Ni sikio la kufa. Blacks ni "dead living objects".
Sasa ivi watapambana maana morocco kashatoa funzo tosha mdauKocha Yuko sahihi kingine mfumo wetu wa kupata wawakilishi ni mbovu halafu wachezaji wa timu zinawakilisha Africa wajengwe kisaikolijia wawe na moyo wa kupambana
Asiongee sana alibahatisha. Nahisi Waarabu walitoa rushwa na kocha wa ureno akamuweka cristiano benchi kipindi cha kwanzaKocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
Sio kujiweka inferior. Ni ukweli mkuu. Tukubali tu ukweli. Kulikubali tatizo si fedheha. Jamii zetu zina matatizo (ukweli mchungu) yanayopelekea tunadharauliwa na kubaguliwa.Hii tabia ya kujiweka " inferior " lini mtaacha eeh?
Mechi iliyopita raundi raundi ya 16 mbona alifanya hivyo hivyo hakuna aliyesema kuhusu rushwa?Asiongee sana alibahatisha. Nahisi Waarabu walitoa rushwa na kocha wa ureno akamuweka cristiano benchi kipindi cha kwanza
Umbeya tu wa kiswahili, si unajua watanzani bila umbeya hatulaliMechi iliyopita raundi raundi ya 16 mbona alifanya hivyo hivyo hakuna aliyesema kuhusu rushwa?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hakuna inferiority complex hapo bali ni fact.Hii tabia ya kujiweka " inferior " lini mtaacha eeh?
Je ronaldo hakucheza?Asiongee sana alibahatisha. Nahisi Waarabu walitoa rushwa na kocha wa ureno akamuweka cristiano benchi kipindi cha kwanza