Kocha wa Morocco atoa ushauri kwa Afrika

Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra

Source: Trust me Bro
 
Hakuna inferiority complex hapo bali ni fact.
Angalia matendo ya weusi popote walipo ulimwenguni, linganisha na race nyingine utapata jibu.
Nadhani tungeangalia matendo yetu zaidi kuliko race ni aina Fulani ya kujibagua.

Kama kuua hata wazungu wanaua,wachina, wahindi,
Rushwa vile vile ipo kote na mengine japo nakubali wazi kuna baadhi ya matendo blacks wanaongoza.
Tuangalie zaidi matendo ya mtu pasipo kujali rangi na sio kubase kwenye race moja tu kuwa hopeless
 
Hv hawa jamaa leo wakishinda wanaingia fainali!!??
akili inagoma kabisa kuamini hilo jambo!!
Huo sio utaratibu wetu.
 
Back
Top Bottom