Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
Nadhani tungeangalia matendo yetu zaidi kuliko race ni aina Fulani ya kujibagua.Hakuna inferiority complex hapo bali ni fact.
Angalia matendo ya weusi popote walipo ulimwenguni, linganisha na race nyingine utapata jibu.

I don't understand you.Source: Trust me Bro
Ni kwa Afrika.Anatoa ushauri Kama nani!? Kwa waafrica ama waarabu!?