Kocha wa Polisi apunguze mahaba na utopolo, kauli zake zinaonesha ushabiki zaidi kiutopolo

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.

Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.

Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.

Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.

Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
 
Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo.Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.

Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.

Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.

Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake
Embu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.

Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.
 
Kuwa Chama ni mchezaji muhimu sana katika kikosi cha Simba hilo halina ubishi. Asipokuwepo timu inacheza hovyo!
 
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.

Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.

Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.

Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.

Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
Utawala huu umesababisha waliokuwa na akili kidogo waishiwe kabisa.
 
Embu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.

Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.

Kwa hiyo Chama sio Simba au mnataka kumaanisha nini ?
 
Nimemaanisha kuwa Simba imepoteza point sita kwasababu Chama hakuwepo. Jana pia wamecheza ndani ya dakika 60 pasipo Chama wakaonekana ni timu ya kawaida tu hadi pale chama alipoingia ndio akaleta utofauti kwenye mechi. Usipoolewa, karibu tena uliza nikufundishe zaidi.
 
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa ni Simba inayo shinda sio Chama anayeshinda.
 
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.

Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.

Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.

Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.

Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
Hiviiiii...... kati ya Mbumbumbu na Vyura nani yupo juu ya mwengine kwenye msimamo wa ligi?
 
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa ni Simba inayo shinda sio Chama anayeshinda.
Wee jamaa unaonekana unapenda mabishano. Nilichoongea kipo wazi kabisa ya kwamba matokeo ya Simba yanabebwa na mchezaji mmoja. Usichokielewa ni kipi? Asipokuwepo huyo ni ngumu Simba kupata matokeo. Haujaelewa wapi?
 
Back
Top Bottom