Kocha wa Polisi apunguze mahaba na utopolo, kauli zake zinaonesha ushabiki zaidi kiutopolo

Embu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.

Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.
Sasa si ndo maana akasajiliwa ili aisaidie timu au we unatakaje?
 
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.

Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.

Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.

Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.

Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
Huyo kocha ni kima tu kama kima wenzake wa Utopolo
 
Utawala huu umesababisha waliokuwa na akili kidogo waishiwe kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Embu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.

Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.
Na siku cbama acbeze peke yake dhid ya timu yyte muone
 
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.

Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.

Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.

Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.

Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
Ok nimekuelewa....ila Kuna timu Ina mtu anaitwa Dude...ilikuwa hivyo hivyo kwa majigambo...tusubiri tuone
 
Tangu timu yenu iwe na CEO wakike basi mmekuwa na wivu wa kike kike tu
 
Jamaa kaongea ukweli huu ushabiki maandazi ndo unaotuulia timu ya taifa mwamedi na kundi lake janja janja nyingi Sana najua muda si mrefu kishingo ataondoka lakini tatizo lipo juu sio chini moo kila kitu anataka a dominate yeye yaani boss Kawa hadi msemaji wa timu na huyu chama atakuja kuringaa watarenew mkataba kwa hela kuubwa sababu hakuna mascout wew mpka leo hujapata mbadala wa chama akiumia jamani mimi nasema ukweli simba ni chama na chama ni simba njoo mnipige mawe nipo huku sinza kwa remmy
Narudia tena simba bila chama ni ihefu ilovaa jezi nyekundu
 
Back
Top Bottom