Kocha wa Polisi apunguze mahaba na utopolo, kauli zake zinaonesha ushabiki zaidi kiutopolo

Kocha wa Polisi apunguze mahaba na utopolo, kauli zake zinaonesha ushabiki zaidi kiutopolo

Malaika kitego cha jua yupo vizuri kaliwasha mpaka mtoa mada fyuzi zimeungua.Naona ametoa uhalo mtupu
 
Jamaa kaongea ukweli huu ushabiki maandazi ndo unaotuulia timu ya taifa mwamedi na kundi lake janja janja nyingi Sana najua muda si mrefu kishingo ataondoka lakini tatizo lipo juu sio chini moo kila kitu anataka a dominate yeye yaani boss Kawa hadi msemaji wa timu na huyu chama atakuja kuringaa watarenew mkataba kwa hela kuubwa sababu hakuna mascout wew mpka leo hujapata mbadala wa chama akiumia jamani mimi nasema ukweli simba ni chama na chama ni simba njoo mnipige mawe nipo huku sinza kwa remmy
Tumia akili yko vzur. Hebu cku 1 mwambie acheze peke yke uwanjan
 
Jamaa kaongea ukweli huu ushabiki maandazi ndo unaotuulia timu ya taifa mwamedi na kundi lake janja janja nyingi Sana najua muda si mrefu kishingo ataondoka lakini tatizo lipo juu sio chini moo kila kitu anataka a dominate yeye yaani boss Kawa hadi msemaji wa timu na huyu chama atakuja kuringaa watarenew mkataba kwa hela kuubwa sababu hakuna mascout wew mpka leo hujapata mbadala wa chama akiumia jamani mimi nasema ukweli simba ni chama na chama ni simba njoo mnipige mawe nipo huku sinza kwa remmy
wewe utopolo mikataba ya Simba inakuhusu nini. soka ni biashara,Chama hata akipewa 1b wewe kinakuuma nini au wivu wa kike
 
Embu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.

Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.
Chama ni muajiriwa wa Simba,
Kama ilivyo Nchimbi kwa Utopolo.

Nae Nchimbi aibebe Utopolo, shida iko wapi hapo?
 
Chama ni muajiriwa wa Simba,
Kama ilivyo Nchimbi kwa Utopolo.

Nae Nchimbi aibebe Utopolo, shida iko wapi hapo?
Yanga hatubebwi na mchezaji mmoja, niambie ni mchezaji gani akikosekana ndani ya kikosi cha Yanga basi Yanga inafungwa?
 
Wee jamaa unaonekana unapenda mabishano. Nilichoongea kipo wazi kabisa ya kwamba matokeo ya Simba yanabebwa na mchezaji mmoja. Usichokielewa ni kipi? Asipokuwepo huyo ni ngumu Simba kupata matokeo. Haujaelewa wapi?
Siyo kuwepo tu, hebu jaribu mechi ambazo Chama amekuwemo, lakini siku hiyo upepo ukamwendea vibaya, Mikia uwa wanastrago Sana.
 
Back
Top Bottom