kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.
Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.
Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.
Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.
Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.