enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Sasa si ndo maana akasajiliwa ili aisaidie timu au we unatakaje?Embu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.
Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.
Huyo kocha ni kima tu kama kima wenzake wa UtopoloJana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.
Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.
Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.
Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.
Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
Na ndiyo maana amesajiliwaKuwa Chama ni mchezaji muhimu sana katika kikosi cha Simba hilo halina ubishi. Asipokuwepo timu inacheza hovyo!
Kwahiyo Wengine wamesajiliwa ili wafanyaje? Ikiwa mtu mmoja asipokuwepo basi timu inayumba?Sasa si ndo maana akasajiliwa ili aisaidie timu au we unatakaje?
sijui lini Yanga itaanza kutumia akili. sasa Chama alisajiriwa tena kwa gharama kubwa ili aje kufanya niniKuwa Chama ni mchezaji muhimu sana katika kikosi cha Simba hilo halina ubishi. Asipokuwepo timu inacheza hovyo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utawala huu umesababisha waliokuwa na akili kidogo waishiwe kabisa.
Na siku cbama acbeze peke yake dhid ya timu yyte muoneEmbu siku chezesheni hao striker wawili pasipo kuwepo kwa chama uone nini kitatokea. Ukweli ni kwamba Simba ni chama bila Chama Simba wanakuwa timu ya kawaida sana hata wakicheza mastraika wawili.
Aliyeleta utofauti katika mechi ya Jana ni chama ambaye kwanzia anaingia tu katoa tachi yake ya kwanza kabisa ambayo ingeweza kuleta goli lakini mmaliziaji kashindwa kutumia nafasi. Magoli yote mawili ni uwezo wake binafsi wa kutulia, kutumia akili, na kufanya maamuzi sahihi.
Chama ndiye mchezaji anayeibeba Simba, huo ndio uhalisia.
Ok nimekuelewa....ila Kuna timu Ina mtu anaitwa Dude...ilikuwa hivyo hivyo kwa majigambo...tusubiri tuoneJana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo.
Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie utopolo. Wanacheza mieleka hadi kwenye penalty box ila wanaachwa tu. Kifupi amefaidika na waamuzi kuliko Simba.
Baada ya mechi anasema timu yake ilipoteza umakini tu kipindi cha pili. Na zaidi anasema ni Chama tu ndiye anayeweza kumsifu na si timu kama timu. Haya ni maonni ya wana utopolo wengi.
Chama ni mchezaji muhimu sana kwa Simba ndio, ila huyu huyu chama ukimuweka acheze katika timu ya utopolo, katu haiwezi kuwa kama Simba. Ajue kuwepo kwa strikers wawili, imekuwa jambo lililo wachanganya polisi, na kama ilivyo kwa timu nyingine. Simba hupata ushindi vizuri ikiwa na strikers wawili.
Mwisho nimtake aache kauli za kishabiki, awe na weledi na aiheshimu timu kwani imewekeza kwa wachezaji na si maneno maneno ya kiutopolo kujifanya unaidharau timu huku unawatamani wachezaji wake.
Sasa si ndo maana akasajiliwa ili aisaidie timu au we unatakaje?
Siku ambayo Chama atakuwa majeruhi ndipo mtaelewa kama ilivyotokea dhidi ya Ruvu na Prisons.Na siku cbama acbeze peke yake dhid ya timu yyte muone
Kakojoe ukalale.Siku ambayo Chama atakuwa majeruhi ndipo mtaelewa kama ilivyotokea dhidi ya Ruvu na Prisons.
CEO wa hayupo simba tu. Upopoma wako ndio unakufanya uwe boya ucjue mambo. Very sorry shabiki Nyani wa yanga.kwa maneno ya yule kocha wenu....Tangu timu yenu iwe na CEO wakike basi mmekuwa na wivu wa kike kike tu
MbumbumbuCEO wa hayupo simba tu. Upopoma wako ndio unakufanya uwe boya ucjue mambo. Very sorry shabiki Nyani wa yanga.kwa maneno ya yule kocha wenu....
Ila Kuitwa nyan na yule mzungu wenu ni aibu na fedheha kubwaMbumbumbu
MbumbumbuIla Kuitwa nyan na yule mzungu wenu ni aibu na fedheha kubwa
nioneshe neno Yanga hapoUkifikiria Yanga inaingia vipi kwenye hoja yako majibu hayaji. Kipindi hiki cha jua kali tunapitia mengi.
Nyie ndio akina Rage walikuwa wanawasemanioneshe neno Yanga hapo
JitopoloNyie ndio akina Rage walikuwa wanawasema