Kocha wa Polisi apunguze mahaba na utopolo, kauli zake zinaonesha ushabiki zaidi kiutopolo

Malaika kitego cha jua yupo vizuri kaliwasha mpaka mtoa mada fyuzi zimeungua.Naona ametoa uhalo mtupu
 
Tumia akili yko vzur. Hebu cku 1 mwambie acheze peke yke uwanjan
 
wewe utopolo mikataba ya Simba inakuhusu nini. soka ni biashara,Chama hata akipewa 1b wewe kinakuuma nini au wivu wa kike
 
Chama ni muajiriwa wa Simba,
Kama ilivyo Nchimbi kwa Utopolo.

Nae Nchimbi aibebe Utopolo, shida iko wapi hapo?
 
Chama ni muajiriwa wa Simba,
Kama ilivyo Nchimbi kwa Utopolo.

Nae Nchimbi aibebe Utopolo, shida iko wapi hapo?
Yanga hatubebwi na mchezaji mmoja, niambie ni mchezaji gani akikosekana ndani ya kikosi cha Yanga basi Yanga inafungwa?
 
Wee jamaa unaonekana unapenda mabishano. Nilichoongea kipo wazi kabisa ya kwamba matokeo ya Simba yanabebwa na mchezaji mmoja. Usichokielewa ni kipi? Asipokuwepo huyo ni ngumu Simba kupata matokeo. Haujaelewa wapi?
Siyo kuwepo tu, hebu jaribu mechi ambazo Chama amekuwemo, lakini siku hiyo upepo ukamwendea vibaya, Mikia uwa wanastrago Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…