eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Binafsi hilo lilinishangaza sana jana, pale nilipoona Simba wameingiza Kikosi cha Kwanza wakati haya ni mashindano ya kawaida tu. Kama Erasto Nyoni hatapona sioni beki wa kati wa kupambana na Waarabu na huenda wakatuangusha kwa kweli.Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna mlima was kupanda ligi kuu TZ,kuna kutuwakilisha kimataifa,au ndo zile zile dharau?Time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Erasto Nyoni atakuwa nje kwa wiki 3 au zaidi baada ya kunyiwa vipimo Jana.Binafsi hilo lilinishangaza sana jana, pale nilipoona Simba wameingiza Kikosi cha Kwanza wakati haya ni mashindano ya kawaida tu. Kama Erasto Nyoni hatapona sioni beki wa kati wa kupambana na Waarabu na huenda wakatuangusha kwa kweli.
Uhakika upi mdau.yote heri milioni 15 ya uhakika au bilioni njiwa iruke????
Du asante kwa taarifa mkuu. Kwa sisi wapenda burdani hasa wa mpira wa miguu hili ni pigo kubwa.Erasto Nyoni atakuwa nje kwa wiki 3 au zaidi baada ya kunyiwa vipimo Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha na benchi la ufundi wa Simba hawana prioritiesNimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna mlima was kupanda ligi kuu TZ,kuna kutuwakilisha kimataifa,au ndo zile zile dharau?Time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Yanga mmeogopa nini??Mwa Afrika wa Yanga ana akili zaidi kuliko Mzungu wa Simba. Yote ni kuogopa aibu aliyoipata kwa vijana wa Kigoma kombe la FA.
yupo juuko murshid ataziba pengo.
Kinaendelea kupanuliwa.KIKOSI KIPANA FC kimefikia wapi?
Nalo neno mdau.Mwa Afrika wa Yanga ana akili zaidi kuliko Mzungu wa Simba. Yote ni kuogopa aibu aliyoipata kwa vijana wa Kigoma kombe la FA.