Kocha wa Simba aamua kurudisha majeshi

Kocha wa Simba aamua kurudisha majeshi

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna mlima was kupanda ligi kuu TZ,kuna kutuwakilisha kimataifa,au ndo zile zile dharau?Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi hilo lilinishangaza sana jana, pale nilipoona Simba wameingiza Kikosi cha Kwanza wakati haya ni mashindano ya kawaida tu. Kama Erasto Nyoni hatapona sioni beki wa kati wa kupambana na Waarabu na huenda wakatuangusha kwa kweli.
 
Erasto Nyoni atakuwa nje kwa wiki 3 au zaidi baada ya kunyiwa vipimo Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna mlima was kupanda ligi kuu TZ,kuna kutuwakilisha kimataifa,au ndo zile zile dharau?Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha na benchi la ufundi wa Simba hawana priorities
 
Mwa Afrika wa Yanga ana akili zaidi kuliko Mzungu wa Simba. Yote ni kuogopa aibu aliyoipata kwa vijana wa Kigoma kombe la FA.
 
Hivi vyura shida ni lugha au nn, hilo alilisema kabla hata mashindano hayajaanza. Alisema nitaenda na kikosi chote ila wachezaji nitawafanyia rotation ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa na tarehe 8 nitarudisha wachezaji na kureplace na kikosi B.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom